DC KATAMBI AJITOSA UBUNGE SHINYANGA MJINI

Mkuu wa  Wilaya ya Dodoma Patrobas Katambi leo Jumatano Julai 15,2020 amechukua fomu kuomba ridhaa ya WanaCCM kugombea Ubunge Jimbo la Shinyanga Mjini kwa tiketi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) 

Mwaka 2015 akiwa Mwenyekiti wa Baraza la Vijana wa CHADEMA (BAVICHA) Patrobas Katambi aligombea Ubunge Jimbo la Shinyanga Mjini kupitia CHADEMA,hata hivyo Stephen Masele (CCM) aliibuka mshindi kiti cha Ubunge Jimbo la Shinyanga Mjini na mwaka 2017 Katambi alijiunga CCM na baadaye kuteuliwa kuwa mkuu wa Wilaya ya Dodoma.

Post a Comment

0 Comments