MWANDISHI WA HABARI MWANDAMIZI ACHUKUWA FOMU YA UDIWANI IYUMBU




Kaimu Katibu kata wa Chama Cha Mapinduzi kata ya Iyumbu jijini Dodoma Alex Lesilwa akimkabidhi Mwandishi wa habari mwandamizi mkoani Dodoma John Banda Fomu ya kuomba kugombea Udiwani kupitia chama hicho. (NA MPIGA PICHA WETU)

📌NA HAMIDA RAMADHANI

Mwandishi wa Habari Mwandamizi  ambaye pia ni Mwanachama wa Central Press Club John Banda amechukua fomu ya kuomba kugombea Udiwani katika kata ya Iyumbu jijini Dodoma.
Banda anaomba ridhaa ya kugombea Udiwani wa kata hiyo kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM) 

Post a Comment

0 Comments