PICHA:RAIS DKT SHEIN ATOA MKONO POLE KWA FAMILIA YA JOB LUSINDE

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa baraza la  Mapinduzi Mhe,Dk. Ali Mohamed Shein, akisalimiana na Waziri Mkuu Mstaaf Mhe. John Samuel Malecela, alipofika nyumbani kwa marehemu Balozi  Mstaaf Job LusindeUzunguni Jijini Dodoma leo 10/7/2020  kutowa mkono wa pole kwa familia
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein akisaini Kitabu cha maombolezi ya Marehemu Balozi Mstaaf  Job Lusinde, alipofika nyumbani kwa Marehemu Mtaa wa Uzunguni Jijini Dodoma leo 10/7/2020, (kulia kwa Rais) Ndugu wa Marehemu Mzee John Malecela.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, akimpa mkpono wa pole Mke wa Marehemu Balozi Mstaaf Job Lisinde Bi. Sara Lusinde.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, akitowa heshima ya kwa mwili wa Marehemu Balozi Mstaaf Job Lusinde

Post a Comment

0 Comments