MATUKIO KATIKA PICHA: DODOMA JIJI FC VS MBEYA CITY

 









Mchezo wa ligi kuu kati ya Dodoma Jiji FC na Mbeya City umemalizika kwa sare ya bila kufungana,tumekukusanyia baadhi ya matukio yaliyojitokeza katika mchezo huo


Kibwana Kibacha akichuana na mshambuliaji wa
Mbeya City Abasirim Chidembere

Kiungo wa mpira Cleophace Mkandara


Abubakar Ngalema akichanja mbuga


Mwamuzi alikuwa na kazi ya ziada.


Mabenchi ni ya moto kwa makocha wote.


Kazi kazi kazi tu


Ulinzi Shirikishi

Jamal Mtegeta aki-control mpira huku mabeki wa Mbeya City
 wakimuwekea ulinzi imara.

Nahodha wa DJFC Kibwana Kibacha 


Anwar Jabir akidhibiti mpira huku akichungwa na mlinzi wa
Mbeya City Juma Ramadhani



Jamal Mtegeta akichanja mbuga


Mcha Khamis akijiandaa 'kumwaga maji' langoni
 mwa Mbeya City

Jamal Mtegeta akimtoka mlinzi wa Mbeya City


                                      Muda ulienda kasi sana kwa mashabiki wa Dodoma Jiji.







Post a Comment

0 Comments