HABARI PICHA: MATUKIO YALIYOJIRI DODOMA JIJI FC VS IHEFU (FT 3-0)
Angalia baadhi ya picha za matukio yaliyojitokeza katika mchezo wa Ligi Kuu kati ya Dodoma Jiji dhidi ya Ihefu.Mchezo huo uliofanyika katika uwanja wa Jamhuri jijini Dodoma,Dodoma Jiji ilishinda magoli 3-0


Timu zikipasha misuli


Mbunge wa Dodoma Mjini Anthony Mavunde akiwasili uwanjani


Ni Upendo tu:Stephen Sylvestry Mganga akiwa na Kichiba 


Dodoma Jiji wakiwa katika picha ya pamoja

Timu zikisimama dakika moja ya kumkumbuka Diego Maradona

Kazi ikaanza....Mwamuzi lazima uoneshe 'ubavu' kidogo
Seif Karihe akishangilia goli lake la kwanzaBeki kisiki Augustino Samson akiruka kufunga goli la pili

Imooooo....


Kocha wa Dodoma Jiji Fc akiangalia saa yake.Muda kama hauendi..
Post a Comment

0 Comments