WAZIRI MKUU ASHIRIKI SALA YA IJUMAA KATIKA MSIKITI WA MSALATO JIJINI DODOMA

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na Sheikh wa Mkoa wa Dodoma, Alhaj Mustafa Rajab Shaaban,
 wakati aliposhiriki sala ya Ijumaa kwenye Msikiti wa Msalato jijini Dodoma, Novemba 27,  2020.
 (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)


Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na waumini wa dini ya Kiislamu,
 baada ya kushiriki sala ya Ijumaa kwenye Msikiti wa Msalato jijini Dodoma, Novemba 27,  2020.
(Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)






Post a Comment

0 Comments