WATOTO 6 WAZALIWA USIKU WA KUAMKIA MWAKA MPYA:

📌 MWANDISHI WETU.

Jumla ya watoto 6 wamezaliwa katika hospitali ya Muhimbili-Upanga,  kati ya hao 4 wakiume , 2 wa kike.

Watoto Wanne  wamezaliwa kwa njia ya kawaida,huku wawili wakizaliwa  kwa upasuaji.

Kulingana na afisa mahusiano wa hospitali hiyo afya za watoto hao pamoja  na mama zao ni njema.

Post a Comment

0 Comments