PICHA:MAELFU WAJITOKEZA KUUPOKEA MWILI WA HAYATI DKT.MAGUFULI WILAYANI CHATO.









WANANCHI wa Katoro Geita na Buseresere Chato wakiwa wamesimama barabarani huku wengine wakitandika kanga na nguo kama ishara ya Heshima ya  kumuaga aliyekuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania katika Awamu ya tano Hayati Dkt. John Pombe Magufuli wakati akipitishwa kuelekea nyumbani kwake Chato leo tarehe 24 Machi 2021.


Post a Comment

0 Comments