HABARI PICHA:RAIS SAMIA AWEKA JIWE LA MSINGI UJENZI WA UWANJA WA NDEGE WA KIMATAIFA WA MSALATO
October 30, 2022
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Mhe. Samia Suluhu Hassan akivuta kitambaa pamoja na Meneja Mkaazi wa Benki ya
Maendeleo ya Afrika (AfDB) kwa upande wa Tanzania Dkt. Patricia Leverley
kuashiria uwekaji wa Jiwe la Msingi Mradi wa Ujenzi wa Kiwanja cha Ndege cha
Kimataifa cha Msalato, Mkoani Dodoma tarehe 30 Oktoba, 2022. Wengine katika
picha ni Waziri wa Ujenzi na Uchukuzi Profesa Makame Mbarawa, Spika wa Bunge
Mhe. Dkt. Tulia Ackson pamoja na viongozi wengine wa Chama na Serikali
📌IKULU MAWASILIANO
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia
Suluhu Hassan akizungumza na viongozi pamoja na Wananchi kabla ya kuweka Jiwe
la Msingi Ujenzi wa Kiwanja cha Ndege cha Kimataifa cha Msalato, Mkoani Dodoma
tarehe 30 Oktoba, 2022.
Viongozi pamoja na Wananchi wa Mkoa wa Dodoma
wakiwa kwenye hafla ya uwekaji wa jiwe la Msingi la Ujenzi wa Kiwanja cha Ndege
cha Msalato
Post a Comment
0
Comments
Hey there, We are Blossom Themes! We are trying to provide you the new way to look and use the blogger templates. Our designers are working hard and pushing the boundaries of possibilities to widen the horizon of the regular templates and provide high quality blogger templates to all hardworking bloggers!
0 Comments