HABARI PICHA : RAIS SAMIA SULUHU HASSAN AHUTUBIA KATIKA MKUTANO WA 27 WA COP27


Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan leo amehutubia katika Mkutano wa 27 wa nchi Wanachama wa Mkataba wa Umoja wa Mataifa kuhusu mabadiliko ya Tabianchi (COP27), uliofanyika Sharm El Sheikh nchini Misri.



 

 

 

 

Post a Comment

0 Comments