RAIS SAMIA ATUNUKU KAMISHENI KWA MAAFISA WANAFUNZI 724, KATIKA CHUO CHA MAFUNZO YA KIJESHI MONDULIđź“ŚMWANDISHI MAALUM

 


RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Amiri Jeshi Mkuu Samia Suluhu Hassan amewatunuku Kamisheni Maafisa Wanafunzi 724(Wanaume 635) (Wanawake 89) kwa Cheo cha Luteni Usu katika Sherehe zilizofanyika Chuo cha Mafunzo ya Kijeshi Monduli (TMA) Mkoani Arusha tarehe 26 Novemba, 2022.

Pia Rais  Samia Suluhu Hassan akiwatunuku Shahada ya Sayansi ya Kijeshi Wahitimu 109 kutoka Chuo cha Uhasibu Arusha kwa kushirikiana na Chuo cha Mafunzo ya Kijeshi Monduli (TMA)  

  

Post a Comment

0 Comments