RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia
Suluhu Hassan amefanya uteuzi wa Wakuu wa Wilaya Wapya 37, kuwahamisha vituo
vya Kazi Wakuu wa Wilaya 48 na wengine 55 kubakia kwenye vituo vyao.
Kati ya Wakuu wa Wilaya hao 140, Wanawake ni 40 na
Wanaume ni 100 ambao ni kama ifuatavyo:
1.
A) WAKUU WA WILAYA WAPYA:
2.
Felician Gasper Mtahengerwa – Ameteuliwa kuwa Mkuu
wa Wilaya ya Arusha
3.
Marko Henry Ngu’mbi – Ameteuliwa kuwa Mkuu wa
Wilaya ya Longido
4.
Emmanuela Kaganda Mtatifikolo – Ameteuliwa kuwa
Mkuu wa Wilaya ya Arumeru.
5.
Gerald R. Mongella – Ameteuliwa kuwa Mkuu wa Wilaya
ya Chemba
6.
Kanali Boniphace Magembe – Ameteuliwa kuwa Mkuu wa
Wilaya ya Geita
7.
Leah Lucas Ulaya – Ameteuliwa kuwa Mkuu wa Wilaya
ya Mbogwe
8.
Deusdedith Josephat Katwale – Ameteuliwa kuwa Mkuu
wa Wilaya Chato
9.
Grace Henry Kingalame – Ameteuliwa kuwa Mkuu wa
Wilaya ya Nyang’halwe
10. Dkt.
Linda Peniel Salekwa – Ameteuliwa kuwa Mkuu wa Wilaya ya Mufindi
11. Dkt.
Abel Mwendawile Nyamahanga – Ameteuliwa kuwa Mkuu wa Wilaya ya Muleba
12. Japhet
Mosses Maganga – Ameteuliwa kuwa Mkuu wa Wilaya ya Kyerwa
13. Erasto
Yohana Sima – Ameteuliwa kuwa Mkuu wa Wilaya ya Bukoba
14. Julius
Kalanga Laiser – Ameteuliwa kuwa Mkuu wa Wilaya ya Karagwe
15. Dinah
Elias Mathamani – Ameteuliwa kuwa Mkuu wa Wilaya ya Uvinza
16. Dkt.
Christopher David Timbuka – Ameteuliwa kuwa Mkuu wa Wilaya ya Siha
17. Amir
Mohamed Mkalipa – Ameteuliwa kuwa Mkuu wa Wilaya ya Hai
18. Kasilda
Jeremia Mgeni – Ameteuliwa kuwa Mkuu wa Wilaya ya Same
19. Goodluck
Asaph Mlinga – Ameteuliwa kuwa Mkuu wa Wilaya ya Liwale
20. Chistopher
E. Ngubiagai – Ameteuliwa kuwa Mkuu wa Wilaya ya Kilwa
21. Beno
Morris Malisa – Ameteuliwa kuwa Mkuu wa Wilaya ya Mbeya
22. Josephine
Keenja Manase – Ameteuliwa kuwa Mkuu wa Wilaya ya Kyela
23. Jaffar
Mohamed Haniu – Ameteuliwa kuwa Mkuu wa Wilaya ya Rungwe
24. Rebeca
Sanga Msemwa – Ameteuliwa kuwa Mkuu wa Wilaya ya Morogoro
25. Shaka
Hamdu Shaka – Ameteuliwa kuwa Mkuu wa Wilaya ya Kilosa
26. Rachel
Stephen Kasanda – Ameteuliwa kuwa Mkuu wa Wilaya ya Magu
27. Hassan
Omary Bomboko – Ameteuliwa kuwa Mkuu wa Wilaya ya Ukerewe
28. Victoria
Charles Mwanziva – Ameteuliwa kuwa Mkuu wa Wilaya ya Ludewa
29. Kanali
Joseph Samwel Kolombo – Ameteuliwa kuwa Mkuu wa Wilaya ya Kibiti
30. Zephania
Stephan Sumaye – Ameteuliwa kuwa Mkuu wa Wilaya ya Mafia
31. Lazaro
Killian Komba– Ameteuliwa kuwa Mkuu wa Wilaya ya Kalambo
32. Dkt.
Jane Chacha Nyamsenda – Ameteuliwa kuwa Mkuu wa Wilaya ya Sumbawanga
33. Wilman
Kapenjama Ndile – Ameteuliwa kuwa Mkuu wa Wilaya ya Songea
34. Mboni
Mohamed Mhita – Ameteuliwa kuwa Mkuu wa Wilaya ya Kahama
35. Farida
Salum Mgomi – Ameteuliwa kuwa Mkuu wa Wilaya ya Ileje
36. Solomon
Jonas Itunda – Ameteuliwa kuwa Mkuu wa Wilaya ya Songwe
37. Zakaria
Saili Mwansasu – Ameteuliwa kuwa Mkuu wa Wilaya ya Uyui
38. Naitapwaki
Lumeya Tukai – Ameteuliwa kuwa Mkuu wa Wilaya ya Nzega
1.
B) WAKUU WA WILAYA WALIOHAMISHWA VITUO VYA KAZI:
2.
Suleiman Yusufu Mwenda – Amehamishwa kuwa Mkuu wa
Wilaya ya Monduli. Alikuwa Mkuu wa Wilaya ya Iramba.
3.
Edward Jonas Mpogolo – Amehamishwa kuwa Mkuu wa
Wilaya ya Ilala. Alikuwa Mkuu wa Wilaya ya Same.
4.
Halima Abdallah Bulembo – Amehamishwa kuwa Mkuu wa
Wilaya ya Kigamboni. Alikuwa Mkuu wa Wilaya ya Muheza.
5.
Hashim Abdallah Komba – Amehamishwa kuwa Mkuu wa
Wilaya ya Ubungo. Alikuwa Mkuu wa Wilaya ya Nachingwea.
6.
Mwanahamisi Athumani Mukunda – Amehamishwa kuwa
Mkuu wa Wilaya ya Temeke. Alikuwa Mkuu wa Wilaya ya Bahi.
7.
Saadi Ahmed Mtambule – Amehamishwa kuwa Mkuu wa
Wilaya ya Kinondoni. Alikuwa Mkuu wa Wilaya ya Mufindi.
8.
Sophia Mfaume Kizigo – Amehamishwa kuwa Mkuu wa
Wilaya ya Mpwapwa. Alikuwa Mkuu wa Wilaya ya Mkalama.
9.
Godwin Crydon Gondwe – Amehamishwa kuwa Mkuu wa
Wilaya ya Bahi. Alikuwa Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni.
10. Veronica
Arbogast Kessy – Amehamishwa kuwa Mkuu wa Wilaya ya Iringa. Alikuwa Mkuu wa
Wilaya ya Misungwi.
11. ACP
Advera John Bulimba – Amehamishwa kuwa Mkuu wa Wilaya ya Biharamulo. Alikuwa
Mkuu wa Wilaya ya Nzega.
12. Majid
Hemed Mwanga – Amehamishwa kuwa Mkuu wa Wilaya ya Mlele. Alikuwa Mkuu wa Wilaya
ya Kilosa.
13. Salum
Hamis Kalli – Amehamishwa kuwa Mkuu wa Wilaya ya Kigoma. Alikuwa Mkuu wa Wilaya
ya Magu.
14. Kisare
Matiku Makori – Amehamishwa kuwa Mkuu wa Wilaya ya Moshi. Alikuwa Mkuu wa
Wilaya ya Uyui.
15. Mohamed
Hassan Moyo – Amehamishwa kuwa Mkuu wa Wilaya ya Nachingwea. Alikuwa Mkuu wa
Wilaya ya Iringa.
16. Kherry
Denis James – Amehamishwa kuwa Mkuu wa Wilaya ya Mbulu. Alikuwa Mkuu wa Wilaya
ya Ubungo.
17. Dkt.
Vicent Naano Anney – Amehamishwa kuwa Mkuu wa Wilaya ya Bunda. Alikuwa Mkuu wa
Wilaya ya Rungwe.
18. Kanali
Denis Filangali Mwila – Amehamishwa kuwa Mkuu wa Wilaya ya Mbarali. Alikuwa
Mkuu wa Wilaya ya Ukerewe.
19. Sebastian
Muungano Waryuba – Amehamishwa kuwa Mkuu wa Wilaya ya Malinyi. Alikuwa Mkuu wa
Wilaya ya Sumbawanga.
20. Danstan
Dominic Kyobya – Amehamishwa kuwa Mkuu wa Wilaya ya Kilombero. Alikuwa Mkuu wa
Wilaya ya Mtwara.
21. Dkt.
Julius Keneth Ningu – Amehamishwa kuwa Mkuu wa Wilaya ya Ulanga. Alikuwa Mkuu
wa Wilaya ya Namtumbo.
22. Judith
Martin Nguli – Amehamishwa kuwa Mkuu wa Wilaya ya Mvomero. Alikuwa Mkuu wa
Wilaya ya Liwale.
23. Hanafi
Hassan Msabaha – Amehamishwa kuwa Mkuu wa Wilaya ya Mtwara. Alikuwa Mkuu wa
Wilaya Uvinza.
24. Lauter
John Kanoni – Amehamishwa kuwa Mkuu wa Wilaya ya Masasi. Alikuwa Mkuu wa Wilaya
ya Wanging’ombe.
25. Matiko
Paul Chacha – Amehamishwa kuwa Mkuu wa Wilaya ya Misungwi. Alikuwa Mkuu wa
Wilaya ya Kaliua.
26. Ng’wilabuzu
Ndatwa Ludigija – Amehamishwa kuwa Mkuu wa Wilaya ya Kwimba. Alikuwa Mkuu wa
Wilaya ya Ilala.
27. Claudia
Undalusyege Kitta – Amehamishwa kuwa Mkuu wa Wilaya ya Wanging’ombe. Alikuwa
Mkuu wa Wilaya ya Masasi.
28. Fatma
Almas Nyangasa – Amehamishwa kuwa Mkuu wa Wilaya ya Kisarawe. Alikuwa Mkuu wa
Wilaya ya Kigamboni.
29. Nick
Simon John – Amehamishwa kuwa Mkuu wa Wilaya ya Kibaha. Alikuwa Mkuu wa Wilaya
ya Kisarawe.
30. Halima
Habib Okash – Amehamishwa kuwa Mkuu wa Wilaya ya Bagamoyo. Alikuwa Mkuu wa
Wilaya ya Mvomero.
31. Filberto
Hassan Sanga – Amehamishwa kuwa Mkuu wa Wilaya ya Nyasa. Alikuwa Mkuu wa Wilaya
ya Mlele.
32. Ngollo
Ng’waniduhu Malenya – Amehamishwa kuwa Mkuu wa Wilaya ya Namtumbo. Alikuwa Mkuu
wa Wilaya ya Ulanga.
33. Johari
Musa Samizi – Amehamishwa kuwa Mkuu wa Wilaya ya Shinyanga. Alikuwa Mkuu wa
Wilaya ya Kwimba.
34. Simon
Peter Simalenga – Amehamishwa kuwa Mkuu wa Wilaya ya Bariadi. Alikuwa Mkuu wa
Wilaya ya Songwe.
35. Anna
Jerome Gidarya – Amehamishwa kuwa Mkuu wa Wilaya ya Busega. Alikuwa Mkuu wa
Wilaya ya Ileje.
36. Moses
Joseph Machali – Amehamishwa kuwa Mkuu wa Wilaya ya Mkalama. Alikuwa Mkuu wa
Wilaya ya Bukoba.
37. Thomas
Cornel Apson – Amehamishwa kuwa Mkuu wa Wilaya ya Ikungi. Alikuwa Mkuu wa
Wilaya ya Siha.
38. Kemilembe
Rose Lwota – Amehamishwa kuwa Mkuu wa Wilaya ya Manyoni. Alikuwa Mkuu wa Wilaya
ya Biharamulo.
39. Joshua
Samwel Nassari – Amehamishwa kuwa Mkuu wa Wilaya ya Iramba. Alikuwa Mkuu wa
Wilaya ya Bunda.
40. Esther
Alexander Mahawe – Amehamishwa kuwa Mkuu wa Wilaya ya Mbozi. Alikuwa Mkuu wa
Wilaya ya Kigoma.
41. Simon
Kemori Chacha – Amehamishwa kuwa Mkuu wa Wilaya ya Sikonge. Alikuwa Mkuu wa
Wilaya ya Chemba.
42. Dkt.
Mohamed Rashid Chuachua – Amehamishwa kuwa Mkuu wa Wilaya ya Kaliua. Alikuwa
Mkuu wa Wilaya ya Mbeya.
43. Said
Mohamed Mtanda – Amehamishwa kuwa Mkuu wa Wilaya ya Urambo. Alikuwa Mkuu wa
Wilaya ya Arusha.
44. Louis
Peter Bura – Amehamishwa kuwa Mkuu wa Wilaya ya Tabora. Alikuwa Mkuu wa Wilaya
ya Urambo.
45. Jokate
Urban Mwegelo – Amehamishwa kuwa Mkuu wa Wilaya ya Korogwe. Alikuwa Mkuu wa
Wilaya ya Temeke.
46. Albert
Gasper Msando – Amehamishwa kuwa Mkuu wa Wilaya ya Handeni. Alikuwa Mkuu wa
Wilaya ya Morogoro.
47. Juma
Said Irando – Amehamishwa kuwa Mkuu wa Wilaya ya Muheza. Alikuwa Mkuu wa Wilaya
ya Hai.
48. Zainab
Abdallah Issa – Amehamishwa kuwa Mkuu wa Wilaya ya Pangani. Alikuwa Mkuu wa
Wilaya ya Bagamoyo.
1.
C) WAKUU WA WILAYA WANAOENDELEA NA VITUO VYA KAZI:
2.
Dadi Horace Kolimba – Anaendelea kuwa Mkuu wa
Wilaya ya Karatu
3.
Raymond Stephen Mangwala – Anaendelea kuwa Mkuu wa
Wilaya ya Ngorongoro.
4.
Dkt. Khamis Athumani Mkanachi – Anaendelea kuwa
Mkuu wa Wilaya ya Kondoa.
5.
Remedius Mwema Emmanuel – Anaendelea kuwa Mkuu wa
Wilaya ya Kongwa.
6.
Jabir Mussa Shekimweri– Anaendelea kuwa Mkuu wa
Wilaya ya Dodoma.
7.
Gift Isaya Msuya – Anaendelea kuwa Mkuu wa Wilaya
ya Chamwino.
8.
Said Juma Nkumba – Anaendelea kuwa Mkuu wa Wilaya
ya Bukombe.
9.
Peres Boniphace Magiri– Anaendelea kuwa Mkuu wa
Wilaya ya Kilolo.
10. Kanali
Wilson Christian Sakullo – Anaendelea kuwa Mkuu wa Wilaya ya Misenyi.
11. Kanali
Mathias Julius Kahabi – Anaendelea kuwa Mkuu wa Wilaya ya Ngara.
12. Jamila
Yusuph Kimaro – Anaendelea kuwa Mkuu wa Wilaya ya Mpanda
13. Onesmo
Mpuya Buswelu – Anaendelea kuwa Mkuu wa Wilaya ya Tanganyika.
14. Kanali
Michael Masala Ngayalina – Anaendelea kuwa Mkuu wa Wilaya ya Buhigwe.
15. Kanali
Evance M. Mallasa – Anaendelea kuwa Mkuu wa Wilaya ya Kakonko.
16. Kanali
Aggrey John Magwaza – Anaendelea kuwa Mkuu wa Wilaya ya Kibondo.
17. Kanali
Issac Anthony Mwakisu – Anaendelea kuwa Mkuu wa Wilaya ya Kasulu.
18. Kanali
Hamis Mayamba Maiga – Anaendelea kuwa Mkuu wa Wilaya ya Rombo.
19. Abdallah
Musa Mwaipaya – Anaendelea kuwa Mkuu wa Wilaya ya Mwanga.
20. Shaibu
Issa Ndemanga – Anaendelea kuwa Mkuu wa Wilaya ya Lindi.
21. Hassan
Nassor Ngoma – Anaendelea kuwa Mkuu wa Wilaya ya Ruangwa.
21 Janeth Peter Mayanja – Anaendelea kuwa Mkuu wa
Wilaya ya Hanang.
22.
Lazaro Jacob Twange – Anaendelea kuwa Mkuu wa
Wilaya ya Babati.
23. Mbaraka
Alhaji Batenga – Anaendelea kuwa Mkuu wa Wilaya ya Kiteto
24. Dkt.
Suleiman Hassan Serera – Anaendelea kuwa Mkuu wa Wilaya ya Simanjiro.
25. Dkt.
Halfan Boniface Haule – Anaendelea kuwa Mkuu wa Wilaya ya Musoma.
26. Mwl.
Moses Ludovick Kaegele – Anaendelea kuwa Mkuu wa Wilaya ya Butiama.
27. Dkt.
Vincent Biyegela Mashinji– Anaendelea kuwa Mkuu wa Wilaya ya Serengeti.
28. Juma
Issa Chikoka – Anaendelea kuwa Mkuu wa Wilaya ya Rorya.
29. Lt.
Kanali Michael Mangwela Mtenjele – Anaendelea kuwa Mkuu wa Wilaya Tarime.
30. Mayeka
Simon Mayeka – Anaendelea kuwa Mkuu wa Wilaya ya Chunya.
31. Jabir
Omari Makame – Anaendelea kuwa Mkuu wa Wilaya ya Gairo.
32. Lt.
Kanali Patrick Kenan Sawala – Anaendelea kuwa Mkuu wa Wilaya ya Tandahimba.
33. Mwangi
Rajab Kundya – Anaendelea kuwa Mkuu wa Wilaya ya Newala
34. Mariam
Khatib Chaurembo – Anaendelea kuwa Mkuu wa Wilaya ya Nanyumbu.
35 Amina Nassoro Makilagi – Anaendelea kuwa Mkuu wa
Wilaya ya Nyamagana.
36.
Hassan Elias Massala– Anaendelea kuwa Mkuu wa Wilaya
ya Ilemela
37. Senyi
Simon Ngaga – Anaendelea kuwa Mkuu wa Wilaya ya Sengerema.
38. Juma
Samwel Sweda – Anaendelea kuwa Mkuu wa Wilaya ya Makete.
39. Kissa
Gwakisa Kasongwa – Anaendelea kuwa Mkuu wa Wilaya ya Njombe.
40. Khadija
Nassir Ali – Anaendelea kuwa Mkuu wa Wilaya ya Mkuranga.
41. Meja
Edward Flowin Gowele – Anaendelea kuwa Mkuu wa Wilaya ya Rufiji.
42. Peter
Ambrose Lijualikali – Anaendelea kuwa Mkuu wa Wilaya ya Nkasi.
43. Julius
Sunday Mtatiro – Anaendelea kuwa Mkuu wa Wilaya ya Tunduru.
44. Aziza
Ally Mangosango – Anaendelea kuwa Mkuu wa Wilaya ya Mbinga.
45. Joseph
Modest Mkude – Anaendelea kuwa Mkuu wa Wilaya ya Kishapu.
46. Aswege
Enock Kaminyonge– Anaendelea kuwa Mkuu wa Wilaya ya Maswa.
47. Faiza
Suleiman Salim – Anaendelea kuwa Mkuu wa Wilaya ya Itilima.
48. Fauzia
Hamidu Ngatumbura – Anaendelea kuwa Mkuu wa Wilaya ya Meatu.
49. Paskasi
Damian Murangili – Anaendelea kuwa Mkuu wa Wilaya ya Singida.
50. Fakii
Raphael Lulandala – Anaendelea kuwa Mkuu wa Wilaya ya Momba.
51. Sauda
Salum Mtondoo – Anaendelea kuwa Mkuu wa Wilaya ya Igunga.
52. Abel
Yeji Busalama – Anaendelea kuwa Mkuu wa Wilaya ya Kilindi.
53. Hashim
Shaib Mgandilwa – Anaendelea kuwa Mkuu wa Wilaya ya Tanga.
54. Kalist
Lazaro Bukhay – Anaendelea kuwa Mkuu wa Wilaya ya Lushoto
55. Kanali
Maulid Hassan Surumbu – Anaendelea kuwa Mkuu wa Wilaya ya Mkinga.
Zuhura Yunus
Mkurugenzi wa Mawasiliano ya Rais, Ikulu
0 Comments