TEMESA YAELEZEA MAFANIKIO SERIKALI AWAMU YA SITA

📌RHODA SIMBA

WAKALA wa ufundi na umeme (TEMESA) umesema katika mwaka wa fedha 2022/23 hadi kufikia Disemba 31, 2022 umefanikiwa kuzalisha mapato ghafi ya jumla ya shilingi bilioni 31.53 sawa na asilimia 35 ya lengo la mwaka la kuzalisha shilingi bilioni 90.43. 

Hayo yamesemwa na Mtendaji Mkuu wa Wakala huo Lazaro Kilahala jijini Dodoma wakati akizungumza na waandishi wa habari kuelezea utekelezaji wa majukumu ya Wakala huo katika kipindi cha Serikali ya Awamu ya Sita




Post a Comment

0 Comments