WAZIRI JAFO AKUTANA NA WATENDAJI WA OFISI YA MAKAMU WA RAIS

📌 MWANDISHI WETU

WAZIRI wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira) Mhe. Dkt. Selemani Jafo amekutana na Watendaji wa Ofisi ya Makamu wa Rais wa kiongozwa na Kaimu Katibu Mkuu Dkt. Switbert Mkama kwaajili ya kupokea taarifa za utekelezaji wa majukumu ya Idara ya Mazingira na Kitengo cha Sheria, kikao kilichofanyika katika ukumbi wa Ofisi ya Makamu wa Rais Mtumba jijini Dodoma leo Mei 10, 2023.

 



Post a Comment

0 Comments