MWANAHABARI: SHIRIKI SASA KATIKA SHINDANO LA STORIES OF CHANGE 2023

📌

Je wewe ni mwandishi wa habari au mdau wa sekta ya habari nchini? Je ni mabadiliko gani ungependa kuyaona kwenye sekta hii?  

Msimu wa tatu wa Shindano la “Stories of Change 2023”unakupa nafasi ya kuandaa andiko linaloeleza mabadiliko yanayoweza kufanyika katika sekta ya Habari na jinsi yanavyoweza kuchochea Utawala Bora na Uwajibikaji chini.   

Unaweza kuwa miongoni mwa waandaaji wa andiko hilo la “Stories of Change” ili uwe miongoni mwa wanaowania kitita cha Tsh 20,000,000.  

Maandiko yote yawasilishwe kabla ya Agosti 01, 2023 kupitia Jukwaa la “Stories Of Change 2023” lililopo ndani ya JamiiForums.com  Ili kujua vigezo na masharti ya shindano hili tafadhali bonyeza link kwenye Bio ya @JamiiForums

Post a Comment

0 Comments