TPA YATOA UFAFANUZI UTENDAJI KAZI WA BANDARI TANZANIA

📌MWANDISHI WETU

MAMLAKA ya Usimamizi wa Bandari Tanzania (TPA) Imetoa ufafanuzi wa Utendaji kazi wa Bnadari Tanzania ambapo Azimio la Bunge linahusu Mkataba ambao Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania inaingia na Serikali ya Dubai wenye ukomo wa miezi kumi na mbili (12) na si vinginevyo.




Post a Comment

0 Comments