MISWAADA MITATU YA SHERIA ZA UCHAGUZI YAPITISHWA KUWA SHERIA.

 ðŸ“ŒRHODA SIMBA

SPIKA wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt Tulia Ackson leo April 2, 2024 bungeni jijini Dodoma amesema miswaada mitatu ya sheria zinazohusu masuala ya uchaguzi zimeridhishwa na Rais Dkt.Samia Suluhu Hassan kuwa sheria.

Miswaada ya sheria hizo ni pamoja na Sheria ya uchaguzi wa Rais, Wabunge na Madiwani, Sheria ya Tume ya Huru ya Taifa, Sheria ya Marekebisho ya sheria ya vyama vya siasa na sheria ya Marekebisho ya sheria mbalimbali.

 

Post a Comment

0 Comments