UWANJA WA NDEGE WA KIA KUENDESHWA NA TAA SIO KADCO TENA

 ðŸ“ŒRHODA SIMBA

BUNGE limewatoa hofu wananchi kuhusu uendeshwaji wa kiwanja cha ndege cha Kilimanjaro ambacho kwasasa kipo chini ya Mamlaka ya Viwanja vya ndege Tanzania TAA na sio tena Kampuni ya Uendelezaji wa Kiwanja cha Ndege Kilimanjaro KADCO.

Ufafanuzi huo umetolewa na Spika wa Bunge Dkt. Tulia Akson mara baada ya kuibuka kwa hali ya sintofahamu kwa wananchi kupewa barua na KADCO za kuwataka wahame katika kipindi walichotoa tofauti na walivyotarajia.

 

Post a Comment

0 Comments