PICHA: DK. BASHIRU ALLY APOKEA GARI MAALUM LA KAMPENI,ANGALIA LILIVYO 'SUPA'



Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Dkt.Bashiru Ally leo amepokea gari aina ya Scania  ikiwa ni maalumu kwa matumizi ya kampeni za chama hicho.

KATIBU Mkuu wa CCM, Dk. Bashiru Ally, akiwasha gari maalum ambalo litatumiwa na kikundi cha Tanzania One Theatre (TOT) wakati wa kampeni za uchaguzi mkuu baada ya kulipokea Makao Makuu ya CCM, jijini Dodoma leo. Kushoto ni dereva Hassan Omar.





KATIBU Mkuu wa CCM, Dk. Bashiru Ally, akiendesha gari maalum ambalo litatumiwa na kikundi cha Tanzania One Theatre (TOT) wakati wa kampeni za uchaguzi baada ya kuipokea Makao Makuu ya CCM, jijini Dodoma leo.

KATIBU Mkuu wa CCM, Dk. Bashiru Ally, akikagua gari maalum litakalotumika na kikundi cha Tanzania One Theatre (TOT)  wakati wa kampeni za uchaguzi baada ya kulipokea Makao Mkuu ya CCM jijini Dodoma jana. Kulia ni Naibu Katibu Mkuu wa CCM Zanzibar, Dk. Abdulla Juma Mabodi.




KATIBU Mkuu wa CCM, Dk. Bashiru Ally, akisalimiana na dereva Hassan Omar wa gari maalum litakalotumika na kikundi cha Tanzania One Theatre (TOT) wakati wa kampeni za uchaguzi baada ya kuipokea Makao Mkuu ya CCM jijini Dodoma jana. Kulia ni Naibu Katibu Mkuu wa CCM Zanzibar, Dk. Abdulla Juma Mabodi.

Picha zote:CCM


SOMA:UKWELI KUHUSU LUSINDE 'KIBAJAJI' KUKAMATWA NA TAKUKURU KWA TUHUMA ZA RUSHWA 


Post a Comment

0 Comments