HABARI PICHA: SIMBA SC ILIPOILAZA DODOMA JIJI FC đź“ŚMWANDISHI WETU

Timu ya Dodoma Jiji FC imeshindwa kufurukuta mbele ya mabingwa watetezi  Simba SC baada ya kufungwa bao 1-2 katika mchezo wa Ligi Kuu ya Tanzania Bara uliofanyika Uwanja wa Jamhuri Jijiji Dodoma.
Meddie Kagere alifunga  goli la kwanza dakika ya 30, akimalizia kazi nzuri ya Kiungo Mshambuliaji Benard Morrison.Cleophase Mkandala (aliyevua jezi)  aliizawazishia Dodoma Jiji  goli dakika ya 36 baada ya kumalizia  kazi nzuri ya Jamal Mtengeta.

Benard Morrison  alifunga la ushindi dakika ya 65 akipokea pasi ya winga mpya, Perfect Chikwende aliyesajiliwa Januari kutoka FC Platinum ya Zimbabwe.

ANGALIA PIA:HABARI PICHA: MATUKIO YALIYOJIRI DODOMA JIJI FC VS IHEFU (FT 3-0) Post a Comment

0 Comments