TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI

 

 


Chama cha Waandishi wa Habari Wanawake Tanzania

P.O BOX 741, Tunguu Zanzibar             

Phone 0772378378/

Email: info@tamwaznz.org

24./01/2021

TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI

TAMWA, ZNZ, yampongeza Mkurugenzi wake Dr. Mzuri Issa Aongezwa

Chama Cha waandishi wa habari wanawake Tanzania, Zanzibar, (TAMWA ZNZ) tunapenda  kumpongeza Mkurugenzi wetu  Dr. Mzuri Issa kwa kupata tunzo  ya kutoa mchango mkubwa katika jamii kwenye maisha yake. Tunzo hizo zimeolewa na waandaaji wa Tunzo za Vijana Zanzibar (ZYA) hii ikiwa ni mara ya pili mfululizo.

Mkuu wa jopo la majaji Bw Rashid Mohammed Rashid, alisema mara hii pamoja na kuitoa zawadi kwa vijana wameona pia watowe tunzo kwa watu waliosaidia sana maendeleo ya vijana nchini.

Wengine wanne walipewa tunzo hizo ni Daudi Kombo Maalim, Shaib Ibrahim Mohamed, Raza Lee na DJ Saleh katika ghafla iliyohudhuriwa na Waziri wa Habari, Vijana Mh Tabia Mwita huko Michenzani Mall jana usiku.

 Dr. Mzuri amepata tunzo hiyo kutokana na kuwawezesha vijana wanawake katika nyanja mbali mbali za kimaendeleo.

++++++++++++++++++++++++++++++++++++++++

Tanzania Media Women's Association (TAMWA, ZANZIBAR, we would like to congratulate our Director, Dr Mzuri Issa for being awarded a certificate of lifetime achievement.

The award was issued by the organizers of the Zanzibar Youth Award, which had carried it out for the second time on annually basis.

Unveiling the award, the Chief Judge Rashid Mohammed said, apart from recognizing excellence for youth, they decided to award also the people who largely contributed to youth empowerment and dynamic. 

Other four people awarded were Daudi Kombo Maalim, Shaib Ibrahim Mohamed, Raza Lee and DJ Saleh, the brief celebration graced by the Minister of Information and Youth Hon Tabia Mwita at  Michenzani Mall  last evening.  

In particular Dr. Mzuri's award was attributed to her role on women and girls social economic empowerment.

 

Dkt.Mzuri Issa

Mkurugenzi,

TAMWA, ZNZ

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

Post a Comment

0 Comments